Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kumbukizi ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda.

Kumbukizi ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda.

Pakua

Miaka 23 iliyopita, ulimwengu ulishtushwa na mauaji ya kimbari nchini Rwanda. Hii leo inaelezwa kuwa watu zaidi ya 800,000 waliuawa, wengi wao watutsi na wahutu waliokuwa na msimamo wa kati. Kwa mara nyingine tena Umoja wa Mataifa unataka kilichotokea Rwanda kiwe fundisho kwa nchi nyingine ambazo kwazo hivi sasa zinashuhudia ubaguzi kwa misingi mbali mbali ikiwemo rangi na hata udogo wa jamii. Je miaka 23 sasa nini kinafanyika?

Photo Credit
Kumbukizi ya mauaji ya kimbari Rwanda inakumbusha ukatilia uliofanyika mabo haupaswi kushuhudiwa tena.(Picha:UM/Pierre Albouy)