Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Changamoto ya upatikanaji wa huduma za afya na juhudi za kuzikabili nchini Uganda

Changamoto ya upatikanaji wa huduma za afya na juhudi za kuzikabili nchini Uganda

Pakua

Lengo namba tatu la maendeleo endelevu ni upatikanaji wa huduma bora za afya ambalo ni msingi wa ustawi wa jamii. Suala hili linasalia changamoto kubwa kwa nchi za barani Afrika.

Ungana na John Kibego kutoka Uganda kwa makala kuhusu mkwamo wa huduma za afya na elimu kutokana na majanga asili.

Photo Credit
Kituo cha afya Butiaba kilichoharibiwa dhoruba ya mwezi Machi.(Picha:Idhaa ya Kiswahili/J.Kibego)