Ujasiriamali wamkomboa mwanamke Tanzania
Pakua
Uwezeshaji wa wanawake kupitia ujasiriamali ni mbinu mojawapo ya kuinua wanawake kiuchumi. Martin Nyoni wa redio washirika redio SAUT ya Mwanza Tanzania amefanya mahojiano na mmoja wa wanawake waliojikomboa kiuchumi kwa kupitia mgahawa wa chakula.