Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Safari kuelekea mlima Kilimanjaro kwa ajili ya amani

Safari kuelekea mlima Kilimanjaro kwa ajili ya amani

Pakua

Walinda amani kutoka kwa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS katika juhudi za kueneza ujumbe wa amani ulimwenguni na nchini Sudan Kusini walipanga safari kuelekea nchini Tanzania kwa lengo la kupanda mlima Kilimanjaro ili kupandisha bendera ya Umoja wa Mataifa katika kilele cha mlima huo. Safari hii ambayo ni ya kwanza kuwahi kufanyika miongoni mwa walinda amani ilitimia pale ambao bendera ya Umoja wa Mataifa ilipepea kileleni.Ungana na Grace Kaneiya  katika makala ifuatayo.

Photo Credit
Walinda amani kutoka UNMISS baada ya kufika katika kilele cha mlima Kilimanjaro.(Picha:UNIFEED/Video capture)