Huduma za kibinadamu ziruhusiwe bila vikwazo Ghouta:WHO
Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema watu wapatao 400,000 wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu ikiwa ni pamoja na afya na usalama katika eneo la Ghouta Mashariki mwa Damascus mji mkuu wa Syria.