Fahamu ugonjwa wa homa ya ini, Hepatitis C na E.
Katika sehemu yetu ya pili na aya mwisho ya kujifunza homa ya ini , leo tunaangazia hepatitis C na E. Je magonjwa haya inaambukizwa vipi? Kinga zake ni zipi? Na je vipi kuhusu tiba zake?
Katika sehemu yetu ya pili na aya mwisho ya kujifunza homa ya ini , leo tunaangazia hepatitis C na E. Je magonjwa haya inaambukizwa vipi? Kinga zake ni zipi? Na je vipi kuhusu tiba zake?
Operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa zinaendelea maeneo mbali mbali duniani ikiwemo barani Afrika. Majukumu ya kila operesheni yanategemea mazingira husika, lakini kubwa ni kulinda raia.
Ubakaji na ukatili wa kingono ni vitendo vya kihalifu ambavyo vinaendelea kutajwa huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC nchi ambayo imekabiliana na machafuko kwa muda mrefu.
Usonji! Ni tatizo la kiafya ambalo linaelezwa kusumbua watoto duniani lakini mara nyingi ni vigumu wazazi au jamii kutambua. Watoto hutelekezwa kwa kuonekana pengine ni vichaa na kubandikwa majina ya kukatisha tamaakamavile laana!
Aprili Pili ni siku ya kimataifa ya Usonji. Dunia imekuja pamoja kwa ajili ya kuhamasisha jamii na kuelimisha kuhusu ugonjwa huo ambao mbali na changamoto ya huduma ya afya hususan katika mataifa yenye kipato cha chini, kuna pengo uelewa juu ya ulemavu wa akili au usonji.
Ikiwa jukwaa la kijamiii la haki za binadamu linakutana mjini Geneva katika mkutano wa siku tatu ambao utalenga kujadili haki za wazee ikiwemo mifumo kuhusu kundi hili watetezi wa haki za wazee wanasema
Ni muhimu kundi hilo litahiminiwe.