Kenya yaliandikia baraza la usalama ikitaka kesi dhidi ya wakenya sita huko ICC zihairishwe kwa mwaka mmoja
Akizungumza na mkuu wa Idhaa ya Radio ya Umoja wa Mataifa Flora Nducha, balozi wa Kenya kwenye Umoja wa Mataifa Macharia Kamau amesema wanachotaka sio kwamba kesi zifutwe zinazowakabilia maafisa sita wa zamani wa serikali ambao ni Uhuru Kenyatta naibu waziri mkuu, Henry Kosgei, Mohammed Hu