Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Guterres alaani mashambilizi ya kigaidi Moghadishu

Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stéphane Dujarric, (Picha:UN/Jean-Marc Ferré)

Guterres alaani mashambilizi ya kigaidi Moghadishu

Amani na Usalama

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kupitia msemaji wake amelaani mashambilizi ya kigaidi mjini Moghadishu yaliyotokea jana tarehe 23  na kukatili maisha raia wasio na hatia na kujeruhi wengine wengi