Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ban ataka Suluhu nchini Paraguay

Ban ataka Suluhu nchini Paraguay

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametaka pande zinazohusika kuelekea kwenye mkutano wa kikanda huko Paraguay kumaliza kwa wakati hitilafu za kisiasa ili hatimaye kufaulu kufikia makubaliano ya pamoja.

Ban amesema pande zonazohusika zinapaswa sasa kufikia makubaliano ya pamoja kutanzua mzozo ambao ulisababisha rais wa wakati huo kuondolewa madarakani.

Hali mbaya ya kisiasa, pamoja na kukosekana kwa utengamao wa mambo kulisababisha Fernando Lugo kuondolewa madarakani.

Kulingana na ripoti za vyombo vya habari, Bwana Lugo aliondolewa madarakani mwishoni kutokana na namna alivyoshindwa kushughulikia mzozo wa