Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP kupiga vita njaa kwa kupitia mtandao wa YOU-TUBE

WFP kupiga vita njaa kwa kupitia mtandao wa YOU-TUBE

Shirika la UM juu ya Miradi ya Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuungana na Hollywood na Bonde la Silicon katika Jimbo la Marekani la California - ambapo hubuniwa teknolojia ya mawasiliano ya kisasa - kuamsha hisia za kimataifa juu ya tatizo la njaa ulimwengunikwa kutumia utaalamu wa vijana.