Skip to main content

Kufumka kwa kipindupindu Guinea-Bissau kunaitia wahka UM

Kufumka kwa kipindupindu Guinea-Bissau kunaitia wahka UM

Shirika la UM juu ya Mfuko wa Maendeleo kwa Watoto (UNICEF) limearifu kujiunga na Wizara ya Afya ya Guinea-Bissau kupiga vita janga la kipindupindu liliozuka na kuenea kwa kasi nchini humo katika wiki za karibuni.