Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Fafanuzi za Kamanda Mkuu wa MONUC juu ya hali katika Kivu Kaskazini

Fafanuzi za Kamanda Mkuu wa MONUC juu ya hali katika Kivu Kaskazini

UM umeripoti ya kuwa hivi karibuni maelfu ya raia wa Kongo wamelazimika kulihama jimbo la Kivu Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), baada ya kufumka tena mapigano baina ya vikosi vya Serekali na makundi ya waasi wanaoshirikiana na wanajeshi watoro.

Sikiliza idhaa ya mtandao kwa dokezo ya mahojiano na Jenerali Gaye.