Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jan Pronk ataendelea kuwa Mwakilishi Maalumu wa UM kwa Sudan

Jan Pronk ataendelea kuwa Mwakilishi Maalumu wa UM kwa Sudan

Wiki hii KM Kofi Annan alikutana kwa mashauriano na Jan Pronk, Mjumbe wake maalumu anayeongoza lile Shirika la Ulinzi wa Amani la UM nchini Sudan, yaani UNMIS. Hivi majuzi Serekali ya Sudan iliripotiwa kumpiga marufuku Pronk kuwepo nchini.

Sikiliza mukhtasari wa ripoti kwenye mtandao.