Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Umoja wa Mataifa (UM) unaadhimisha Siku Kuu ya kuzaliwa kwake

Umoja wa Mataifa (UM) unaadhimisha Siku Kuu ya kuzaliwa kwake

Ijumanne tarehe 24 Oktoba huadhimishwa kote duniani na watumishi wa kimataifa kuwa ni ‘Siku Kuu ya UM’ na mwaka huu ilisherehekea mwaka wa 61 tangu Mkataba wa UM kuidhinishwa rasmi kuwa ni chombo kamili cha kanuni za kimataifa.