Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

JIFUNZE KISWAHILI-METHALI: Asiye na kitoweo humangiria

JIFUNZE KISWAHILI-METHALI: Asiye na kitoweo humangiria

Pakua

Hii leo katika kujifunza lugha ya kiswahili, Josephat Gitonga  Mhadhiri wa Chuo Kikuu Nairobi nchini Kenya katika Kitivo cha Ukalimani anafafanua maana  ya methali, Asiye na kitoweo hurumangia.

Audio Credit
Leah Mushi/Josephat Gitonga
Audio Duration
1'17"
Photo Credit
UN