Juni 25 2021
Pakua
Katika uchambuzi wa habari zetu hii leo Ijumaa tutaelekea nchini Afghanistan kutazama namna mradi wa ukarabati wa mfereji wa umwagiliaji ulivyobadilisha maisha ya wananchi. Pia tutajifunza Kiswahili katika Neno la wiki, Dkt. Mwanahija Ali Juma Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar BAKIZA anafafanua maana ya msemo " IMANI YA DAKTARI.
Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
10'19"