WFP yazindua jukwaa la kidijitali la kukusanya takwimu kuhusu njaa na mzozo duniani 21 Januari 2020 Habari kwa Ujumla Pakua Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP leo limezindua jukwaa la kihistoria la kidijitali HungerMapLIVE, ambalo litakusanya takwimu muhimu kuhusu hali ya uhakika wa chakula katika nchi zaidi ya 90 duniani. Audio Credit Priscilla Lecomte Audio Duration 1'54" Photo Credit OCHA/Franck Kuwonu WFP