Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ndoto ya kuwa daktari wa meno yatimia kwa mkimbizi Sidra kutoka Syria

Ndoto ya kuwa daktari wa meno yatimia kwa mkimbizi Sidra kutoka Syria

Pakua

Hakuna faraja kubwa unayoweza kuipata kama pale ndoto zako zinapotimia, na hii ndio hali anayoihisi Sidra Taleb mkimbizi kutoka Syria aliyetamani sana kusomea udaktari wa meno, na kwa ukarimu wa serikali ya Uturuki sasa anatimiza ndoto hiyo. 

Audio Credit
UN/Flora Nducha
Audio Duration
1'49"
Photo Credit
Simone D. McCourtie / World Bank