Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tukifanikiwa kuondoa pengo kati ya wanawake na wanaume tutakuwa na jamii endelevu-Kijana Koka

Tukifanikiwa kuondoa pengo kati ya wanawake na wanaume tutakuwa na jamii endelevu-Kijana Koka

Pakua

Suala la ajira kwa vijana ni changamoto katika nchi nyingi na sasa hivi kuna wito wa kubadili hali ambapo vijana wenyewe wamechukua jukumu la kujiajiri wenyewe au kufanya kazi za kujitolea. Mmoja wa vijana hao ni kutoka nchini Tanzania amabaye yeye licha ya kwamba amekwenda chuo kikuu na kuhitimu shahada ya uzamili na kuwa wakili, sasa anafanya kazi ya kutjitolea katika shirika la kiraia la Restless development nchini humo. Kulikoni? Ungana na Grace Kaneiya katika makala hii akizungumza na kijana huyo ambaye anaanza kwa kujitambulisha.

Soundcloud
Audio Credit
Brenda Mbaitsa/ Grace Kaneiya/ Abel Koka
Audio Duration
5'44"
Photo Credit
UN/Assumpta Massoi