Muafaka wa EU kuhusu wakimbizi na wahamiaji watia matumaini:IOM/UNHCR
Pakua
Viongozi wa mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa wamekaribisha uamuzi uliofikiwa barani Ulaya wenye lengo la kushughulikia hali wahamiaji na wakimbizi kwenye bahari ya Mediteranea na kuzuia vifo nchini Libya.
Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
1'41"