Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mshikamano katika haki na usawa kwenye ajira ni muhimu:ILO

Mshikamano katika haki na usawa kwenye ajira ni muhimu:ILO

Pakua

Leo ni siku ya wafanyakazi duniani, au Mei mosi ambapo mataifa ikiwemo yale ya barani Afrika yameadhimisha siku hiyo huku shirika la kazi ulimwenguni ukanda wa Afrika Mashariki likitoa wito kufanya kazi kwa pamoja kwa ajili ya kuchagiza usawa, haki kwa jamii na kuimarisha mazingira ya kazi kwa wote. 

Audio Credit
UN News/Patrick Newman
Audio Duration
2'15"
Photo Credit
ILO/Marcel Crozet