Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

03 NOVEMBA 2023

03 NOVEMBA 2023

Pakua

Karibu kusikiliza jarida la Umoja wa Mataifa ambapo hii leo utasikia kutoka Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu OHCHR ambayo imesikitishwa sana na ripoti kwamba huko Darfur nchini Sudan wanawake na wasichana wanatekwa nyara na kushikiliwa katika mazingira ya yasiyo ya kiutu katika maeneo yanayodhibitiwa na wanamgambo waasi (RSF). 

Pia utapata ufafanuzi wa Ibara ya 12 ya Tamko la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu ambalo mwaka huu linatimiza miaka 75. 

Makala utasikia utekelezaji wa SDGs nchini Tanzania na mashinani tutasalia kutoka kwa Wakimbizi wa DRC walioko nchini Tanzania. 

Audio Credit
Leah Mushi
Audio Duration
10'