Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF: Apu ya OKY na hedhi salama yasongesha SDG 3

UNICEF: Apu ya OKY na hedhi salama yasongesha SDG 3

Pakua

Shirika la umoja wa mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, limezindua apu maalum ya wasichana kufuatilia maelezo wakati wa hedhi. Apu hiyo ni mahsusi kwa wasichana wa mataifa yanayoinukia na yaliyo masikini. Apu hii inaleta matumaini wakati huu ambapo viongozi wa dunia wanakutana New York, Marekani kutathmini maendeleo ya malengo ya maendeleo endelevu, SDGs. Thelma Mwadzaya amefuatilia na kutuletea makala kuhusu apu hiyo, iliyoandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF

 

Audio Credit
Thelma Mwadzaya
Audio Duration
2'47"
Photo Credit
UNICEF Kenya