Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze Lugha ya Kiswahili: Neno "NDEKWA"

Jifunze Lugha ya Kiswahili: Neno "NDEKWA"

Pakua

Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo Dkt. Mwanahija Ally Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Zanzibar, BAKIZA anatufafanualia maana ya neno “NDEKWA”.

Audio Credit
Dkt. Mwanahija Ally Juma
Audio Duration
24"
Photo Credit
Habari za UN