Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Je wafahamu maana ya neno UKUMBIZAJI?

Je wafahamu maana ya neno UKUMBIZAJI?

Pakua

Katika kujifunza Kiswahili leo mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania, BAKITA akieleza maana ya neno “UKUMBIZAJI."

Audio Credit
Onni Sigalla
Audio Duration
1'5"
Photo Credit
Habari za UN