Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze kiswahili: Je, wajua maana ya neno "KUYEYESA"?

Jifunze kiswahili: Je, wajua maana ya neno "KUYEYESA"?

Pakua

Leo katika kujifunza lugha ya Kiswahili tunafafanuliwa maana ya neno "KUYEYESA" na mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania, BAKITA, karibu!

Audio Credit
Onni Sigalla
Audio Duration
1'3"
Photo Credit
Habari za UN