Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze Kiswahili: "Mama ni Mama Hata Kama ni Rikwama"

Jifunze Kiswahili: "Mama ni Mama Hata Kama ni Rikwama"

Pakua

Katika kujifunza lugha ya Kiswahili Dkt. Mwanahija Ally Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili visiwani Zanzibar, BAKIZA anachambua methali: Mama ni Mama Hata Kama ni Rikwama! 

Audio Credit
Dkt. Mwanahija Ally Juma
Audio Duration
2'18"
Photo Credit
Habari za UN