Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "NDUI"

Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "NDUI"

Pakua

Katika kujifunza Kiswahili, leo tunapata ufafanuzi wa neno "NDUI" kutoka kwa mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania, BAKITA. 

Audio Credit
Onni Sigalla
Audio Duration
57"
Photo Credit
Habari za UN