Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze Lugha ya Kiswahili: MANYEZI

Jifunze Lugha ya Kiswahili: MANYEZI

Pakua

Katika kujifunza Kiswahili, leo tukipata ufafanuzi wa neno "MANYEZI" kutoka kwa mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania, BAKITA, karibu!

Audio Credit
Onni Sigalla
Audio Duration
1'4"
Photo Credit
Habari za UN