Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

METHALI: Kinga na kinga ndipo moto huwaka

METHALI: Kinga na kinga ndipo moto huwaka

Pakua

Hii leo katika Jifunze Lugha ya Kiswahili, Dkt. Josephat Gitonga ambaye ni Mhadhiri Mwandamizi katika Chuo Kikuu Nairobi nchini Kenya, kitengo cha Utafsiri na Ukalimani anachambua maana ya methali, Kinga na kinga ndipo moto  huwaka. Karibu!

Audio Credit
Assumpta Massoi/Josephat Gitonga
Audio Duration
1'
Photo Credit
UN