Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

METHALI: Ganda la mua la jana chungu kaona kivuno

METHALI: Ganda la mua la jana chungu kaona kivuno

Pakua

Hii leo katika kujifunza kiswahili tunakwenda Baraza la Kiswahili Zanzibar kwake Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa BAKIZA akichambua methali Ganda la mua la jana chungu kaona kivuno. Karibu!

Audio Duration
48"
Photo Credit
UN