Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

05 JULAI 2022

05 JULAI 2022

Pakua

Jarida la leo limejikita katika lugha ya kiswaihli na amani, ikiwa ni kuelekea siku ya kimataifa ya kiswahili duniani. Tunafanya hivyo kwa kubisha hodi nchini Jamhuri ya Kdiemokrasia ya Congo, DRC kwa walinda amani wa Umoja wa Mataifa wanaohudumu nchini humo. Mashinani vile vile tunamulika nafasi ya misemo au methali ya za kiswahili katika kuimarisha utulivu na amani. Lakini kuna habari kwa ufupi zikimulika wanawake na wasichana kubainika kupata ujauzito wakiwa watoto. Hali ya watoto wahamiaji wanaowekwa vizuizini huko barani Ulaya na inatamatisha na usaidizi wa FAO kwa wakulima huko Ukraine. Karibu na mwenyeji wako ni Assumpta Massoi.

Audio Credit
Assumpta Massoi
Sauti
11'57"