Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki-Njia panda ilimshinda fisi

Neno la Wiki-Njia panda ilimshinda fisi

Pakua
Katika kujifunza Kiswahili, mchambuzi wetu Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali "NJIA PANDA ILIMSHINDA FISI”
Audio Credit
Assumpta Massoi/ Josephat Gitonga
Audio Duration
1'13"
Photo Credit
UN