Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

26 Aprili 2022

26 Aprili 2022

Pakua

Jaridani Jumanne Aprili 26, 2022 na Leah Mushi

-Usimamizi wa data ni muhimu ili biashara mtandao inufaishe wote- Naibu Katibu Mkuu Amina J. Mohammed.

Tani bilioni 50 za mchanga na changarawe hutumika kila mwaka duniani:UNEP

Mzozo wa wakulima na wafugaji Sudan Kusini wasababisha vifo vya zaidi ya watu 13.

Katika makala ni mradi wa ‘Dreams’ au ‘Ndoto’ ambao unatekelezwa na Shirika la Tumaini Community Services mkoani Mbeya Tanzania, lengo likiwa kuwapatia vijana balehe elimu ya afya ya uzazi, kujitambua, na elimu ya kiuchumi ili kupunguza maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI.

Mashina tupo Karamoja, Uganda na juhudi za kukabiliana na uimarishaji wa mlo shuleni kwa msaada wa UNICEF.

Audio Credit
Leah Mushi
Audio Duration
13'12"