Uganda yaimarisha upatikanaji wa chajo ya COVID-19
Pakua
Kutokana na vikundi vilivyopewa kipaumbele kwa ajili ya chanjo dhidi ya COVID-19, serikali ya Uganda imeanza kutumia mbinu ya kuchanja mtu mzima yeyote aliyetayari popote pale.
Kwenye maeneo makuu ya ibaada, kwneye hafla na vilevile mitaani watoa chanjo wako tayari kutoa huduma hiyo endapo wanaalikwa na waliotayari. Je, kampeni inatekelezwaje?
Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
3'19"