Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jarida 12 Oktoba 2021

Jarida 12 Oktoba 2021

Pakua

Karibu usikilize jarida linaloletwa kwako na Assumpta Massoi ambapo miongoni mwa utakayo sikia ni pamoja na wakulima nchini Kenya wanufaika na mradi wa viazi lishe chini ya ufadhili wa WFP

Binti Raba Hakim mkimbizi kutoka Ethiopia aanza masomo ya chuo kikuu kwa ufadhili wa Mastercard Foundation, na nchini Niger wakulima wapewa mafunzo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. 

Pia utasikia makala na sauti kutokana mashinani.

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
11'32"