Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze Kiswahili- Methali Zingwizingwi lipe nguo ulione mashauo

Jifunze Kiswahili- Methali Zingwizingwi lipe nguo ulione mashauo

Pakua

Hii leo katika kujifunza lugha ya kiswahili, Onni Sigalla Mhariri Mwandamizi katika Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya methali Zingwizingwi lipe nguo ulione mashauo. Karibu!

Audio Credit
Assumpta Massoi/Onni Sigalla
Audio Duration
1'14"
Photo Credit
UN