Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Julai 09, 2021

Julai 09, 2021

Pakua

Katika Jarida hii leo utasikia kuhusu muongo mmoja tangu Sudan kusini ipate uhuru wake, Upigaji kura ili kuruhusu misaada ya kibinadamu iendelee kupitishwa nakupelekwa Syria pamoja na wito wa Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres kwa mawaziri wa Fedha na magavana wa G20 kuhusu usambazaji na uzalishaji wa chanjo ya Corona au coronavirus">COVID-19 

Kwenye mada kwa kina leo tunaangazia madhila wanayokutana nayo wananchi wa Msumbiji

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
10'38"