Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juni 29 2021

Juni 29 2021

Pakua

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema sasa taifa hilo lina wagonjwa zaidi ya 100 na tayari taratibu zinafanyika ili kuingiza chanjo ya coronavirus">COVID-19. Pia ameeleza tayari wameshajiunga na mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuchagiza upatikanaji wa chanjo COVAX kwa nchi za kipato cha chini. 

Utapata pia kusikia namna mashirika ya Umoja wa Maifa yanavyosaidia kuinua maisha ya wananchi mashinani barani Afrika, mashirika hayo ni FAO,WFP pamoja na UNIDO.

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
13'40"