Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

CAMFED ni muokozi kwa watoto wanaoshirikishwa ajira utotoni Tanzania

CAMFED ni muokozi kwa watoto wanaoshirikishwa ajira utotoni Tanzania

Pakua

Shirika lisilo la kiserikali la CAMFED nchini Tanzania linaendeleza harakati za kutetea haki za watoto, hususani wa kike, kuwaondoa kwenye ajira za utotoni na kusaidia kuwarejesha shuleni. John Kabambala wa redio washirika KidsTime FM ya Morogoro amewahoji wadau wa shirika hilo.

Audio Credit
Flora Nducha- John Kabambala
Audio Duration
2'18"
Photo Credit
© UNICEF/Prashanth Vishwanathan