Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi wanaendelea kumiminika Sudan kutoka Tigray, Ethiopia

Wakimbizi wanaendelea kumiminika Sudan kutoka Tigray, Ethiopia

Pakua

Wakati idadi ya watu wanaokimbia jimbo la Tigray nchini Ethiopia kuingia mashariki mwa Sudan sasa imezidi 40,000, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR linafanya jitihada kupata msaada wa kutosha unaohitajika kwa watu hao walio katika uhitaji mkubwa. 

Audio Credit
Flora Nducha- Anold Kayanda
Audio Duration
2'14"
Photo Credit
© UNFPA Sudan/Sufian Abdul-Mout