Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ghasia zimesababisha watu zaidi kuendelea kukimbia Cabo Delgado

Ghasia zimesababisha watu zaidi kuendelea kukimbia Cabo Delgado

Pakua

Makumi ya maelfu ya wananchi wanaendelea kukimbia ghasia jimbo la Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji huku serikali na wadau wa kibinadamu wakishindwa kukidhi mahitaji ya watu hao ya malazi, chakula na misaada mingine.

Audio Credit
Flora Nducha- Grace Kaneiya
Sauti
2'27"
Photo Credit
IOM/Matteo Theubet