Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wahamiaji wengi kutoka Afrika wanasalia Afrika-Ripoti

Wahamiaji wengi kutoka Afrika wanasalia Afrika-Ripoti

Pakua

Ripoti mpya na ya kwanza kabisa ya uhamiaji Afrika iliyotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM na tume ya Muungano wa Afrika AUC, imebaini kwamba wahamiaji wengi wa bara hilo hawaendi kwingineko bali barani mwao Afrika.

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Jason Nyakundi
Audio Duration
1'56"
Photo Credit
IOM Bole Addis Ababa International Airport