Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

05 Mei 2020

05 Mei 2020

Pakua

Hii leo kwenye jarida la Umoja wa Mataifa ikiwa ni siku ya Wauguzi na wakunga na pia  siku ya Kunawa mikono tumeandaa habari mbalimbali kama vile:

- Wakunga Tanzania kushukuru  UNFPA  kwa msaada wa kuendeleza huduma za wakunga

-Katika kuadhimisha siku ya usafi wa mikono hii leo shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO linawachagiza watu kote duniani kuongeza juhudi za kuhakikisha usafi wa mikono katika vituo vya afya ili kuwalinda wahudumu wa afya na wagonjwa dhidi ya maambukizi.

-Watoto milioni 19 duniani kote walikuwa wakimbizi wa ndani mwaka 2019

-Katika makala yetu leo  tutaangazia  umuhimu wa wananchi kupata huduma za wakunga na wauguzi.

-Kwenye mashinani tutamsiliza Jaffar Mtavi, mkunga mtaalamu nchini Tanzania

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
12'28"