Tanzaania

OHCHR imetoa wito kwa wadau kuhakikisha uchaguzi mkuu wenye amani

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa OHCHR, leo imetoa wito kwa wadau wote nchi Tanzania kuhakikisha uchaguzi m

Sauti -
2'39"

Chonde chonde Tanzania fanyeni uchaguzi kwa amani:OHCHR

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa OHCHR, leo imetoa wito kwa wadau wote nchi Tanzania kuhakikisha uchaguzi mkuu unaofanyika kesho Jumatano Oktoba 28, unakuwa wa amani, jumuishi na shirikishi, kwa watu kuweza kupiga kura zao kwa uhuru bila hofu na vitisho. 

Kupata utambuzi na tuzo maana yake kazi yako imeonekana na ni fursa kufanya zaidi

Shirika lisilo la kiserikali la CAMFED nchini Tanzania ni moja ya mashirika yanayopambana kuhakikisha yanachangia katika kutimiza angalau malengo machache kati ya malengo 17 ya maendeleo endelevu, SDGs.

Sauti -
4'1"

UNEP inafungua wigo wa watu kuchangia mawazo yao kwa nini wanaona hivi sasa ni wakati wa asili-Clara Makenya

Kesho ni siku ya mazingira duniani, siku ambayo imekuwa ikiazimishwa tangu mwaka 1974 kila mwaka ifikapo tarehe 5 ya mwezi Juni.

Sauti -
3'47"

Wanawake walinda amani wana moyo wa uzazi, waje wengi zaidi tupate amani-Mkimbizi Uganda

Wakati ulimwengu ukiwa imeadhimisha siku ya walinda amani duniani maudhui yakilenga wanawake walinda amani ni ufunguo wa amani ya kudumu, Je, wakimbizi nchini Uganda wanasemaje kuhusu shughuli za walinda amani?

Sauti -
3'48"

Pamoja na kuleta adha COVID-19 pia imenisadia silali njaa:Fundi Beatrice

Mlipuko wa virusi vya Corona au COVID-19 kwa kiasi kikubwa umeathiri kila nyanja ya maisha ya watu duniani kote ukiacha kwamba umesababisha mamilioni ya vifo lakini pia umeathiri uchumi na maisha ya kijamii.

05 Mei 2020

Hii leo kwenye jarida la Umoja wa Mataifa ikiwa ni siku ya Wauguzi na wakunga na pia  siku ya Kunawa mikono tumeandaa habari mbalimbali kama vile:

Sauti -
12'28"

Buriani Balozi Mahiga mchango wako tutauenzi daima:Wanadiplomasia

Mwendazake Balozi Augustine Mahiga  aliyeaga dunia mwishoni mwa wiki iliyopita nchini Tanzania , ambaye alikuwa na mchango mkubwa kwa nchi yake na Umoja wa Mataifa alikuwa pia mchapakazi hodari na  aliishi na kufanya kazi viruzi na watu mbalimbali.

01 MEI 2020

Na sasa ni wakati wa kujifunza Kiswahili , Je wafahamu maana ya neno "UNYARUBANJA" basi ungana na mchambuzi wetu Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili  la Taifa Tanzania , BAKITA kwa ufafanuzi

Sauti -
44"

Wanafunzi Tanzania kujifunza kupitia redio na televisheni kutokana na COVID-19

Nchini Tanzania, wito wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO, wa kuhakikisha wanafunzi wanaendelea kujifunza hata wakati wa huu wa kusalia majumbani kutokana na janga la ugonjwa wa virusi vya Corona, COVID-19, umeanza kutekelezwa ambapo hii leo Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imezindua rasmi urushaji wa vipindi vya masomo kupitia televisheni na Radio.