Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Umoja wa Mataifa wasema dola milioni 877 zahitajika kusaidia warohingya mwaka 2020

Umoja wa Mataifa wasema dola milioni 877 zahitajika kusaidia warohingya mwaka 2020

Pakua

Umoja wa Mataifa na washirika wake leo wamezindua ombi la pamoja la kuchangisha dola milioni 877 ili kushughulikia janga la wakimbizi wa Rohingya na jamii zinazowahifadhi nchini Bangladesh.

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
2'27"
Photo Credit
UNHCR/Roger Arnold