Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakunga wa jadi bado wana mchango mkubwa hususan nchini Tanzania

Wakunga wa jadi bado wana mchango mkubwa hususan nchini Tanzania

Pakua

Katika makala ya wiki hii tutakuwa mkoani Kagera nchini Tanzania tukiendelea na mfululizo wa makala kuhusu wauguzi na wakunga na hii leo tukiangazia mkunga wa jadi ambapo Nicolaus Ngaiza wa redio washirika Kasibante FM amevinjari na  mkunga wa jadi wilayani Bukoba mkoa wa Kagera nchini Tanzania.

Audio Credit
Flora Nducha/ Nicolaus Ngaiza
Audio Duration
5'37"
Photo Credit
Photo: WHO/A. Esiebo