Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mwaka 2020 uwe mwaka wa mabadiliko kwa ulinzi wa wakimbizi:UNHCR kwa EU

Mwaka 2020 uwe mwaka wa mabadiliko kwa ulinzi wa wakimbizi:UNHCR kwa EU

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, limezindua mapendekezo ya matamanio lakini yanayoweza kufikiwa kwa urahisi kwa mwaka 2020 kwa Croatia na Ujerumani, ambazo ni maraisi wa Baraza la Muungano wa Ulaya,EU. Mapendekezo hayo ni kuhusu ulinzi kwa wakimbizi

Audio Credit
UN News/Brenda Mbaitsa
Audio Duration
2'4"
Photo Credit
2018 European Union/N. Mazars