wakimbizi na wahamiaji

Napenda somo la kemia, nataka kuwa daktari- Mwanafunzi Mkimbizi Sudan Kusini

amishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, Filippo Grandi akiwa ziarani barani Afrika, ametembelea wanaf

Sauti -
1'50"

Pamoja na changamoto ya COVID-19, kijana mkimbizi Uganda ajivunia mafaniko.

Licha ya mlipuko wa COVID-19 nchini Uganda kuenea hadi katika makambi ya wakimbizi ikiwemo Kyangwali na kuathiri uchumi na maisha kijamii, baadhi ya wakimbizi wamepata mafanikio na kuwa matuma

Sauti -
3'29"

Tunao wajibu wa kutekeleza ahadi ya kutokomeza migogoro-Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kupitia ujumbe wake wa siku ya wakimbizi duniani ameeleza ahadi ya Umoja wa Mataifa kukomesha migogoro na mateso yanayosababisha mamilioni ya watu kuwa wakimbizi.

08 Mei 2020

  Leo katika Jarida la Umoja wa Mataifa  ikiwa ni Ijumaa ya mada kwa kina tunaangazia harakati za Ombeni Sanga, mvumbuzikijana mtanzania ambaye ametengeneza kifaa chenye uwezo wa kusambaza elimu katika mazingira ambayo hakuna mwalimu.

Sauti -
9'58"

06 MACHI 2020

Katika Jarida letu leo la mada kwa kicha Grace Kaneiya anakuletea

Miaka 25 baada ya jukwaa la Beijing la kuchukua hatua kuhusu Haki za wanawake, Umoja wa Mataifa unasema wakati ni sasa na hakuna kinachohalalisha kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia

Sauti -
11'58"

Wakimbizi zaidi wa Cameroon wamekimbilia Nigeria

Takribani wakimbizi 8,000 kutoka Cameroon wamekimbilia katika majimbo ya mashariki na kaskazini mwa Nigeria katika eneo la Taraba na Cross River katika kipindi cha wiki mbili zilizopita, imeeleza taarifa ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.

Nchini Niger UNHCR yawajengea nyumba wakimbizi na wenyeji wao

Kamishina Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, Filippo Grandi amezindua ujenzi wa nyumba zilizojengwa kwa

Sauti -
2'48"

UNHCR yawajengea nyumba wakimbizi na wenyeji wao nchini Niger

Kamishina Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, Filippo Grandi amezindua ujenzi wa nyumba zilizojengwa kwa ubunifu nchini Niger kwa lengo la kutatua mahitaji ya kibinadamu ya haraka na yanayoongezeka katika eneo la Sahel wakati suluhisho la kudumu likitafutwa kwa ajili ya wakimbizi na watu wa Niger walioko hatarini.

Hatutokubali zahma ya Libya kuendelea:Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres leo ameuambia mkutano wa kimataifa kwa ajili ya Libya unaofanyika mjini Berlin Ujerumani kwamba zahma inayoendelea nchini Libya haitokubaliwa kuendelea na kwamba suluhu pekee ni kwa njia ya amani na majadiliano na si mtutu wa bunduki. 

Mwaka 2020 uwe mwaka wa mabadiliko kwa ulinzi wa wakimbizi:UNHCR kwa EU

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, limezindua mapendekezo ya matamanio lakini yanayoweza kufikiwa kwa urahisi k

Sauti -
2'4"