Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Zaidi ya watoto 390,000 wamezaliwa leo kote duniani:UNICEF

Zaidi ya watoto 390,000 wamezaliwa leo kote duniani:UNICEF

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF leo Januari Mosi mwaka mpya ukisherehekewa kote duniani limetoa wito kwa viongozi wa dunia kuwekeza katika wahudumu wa afya kitaaluma na vifaa ili kuhakikisha wanaokoa maisha ya kila mtoto anayezaliwa. 

Audio Credit
Grace Kaneiya
Sauti
3'14"
Photo Credit
UNICEF/Ilvy Njiokiktjien